Jifunze kwanza, trade kwa akili.
Masoko ya dunia. Bidii ya Kikenya. Hatari inayodhibitiwa.
Fanya biashara kwenye masoko ya dunia kupitia MetaTrader 5, kuanzia forex na dhahabu hadi indices na hisa. Anza na demo ya bure, jifunze kwenye webinar zetu za kila wiki, kisha fungua akaunti halisi ukiwa tayari.
Kwa nini Centrino
Leseni ya FSC Mauritius
Leseni GB24203407, Investment Dealer (Full Service Dealer, isipokuwa Underwriting).
Pesa za wateja zimetengwa
Pesa za wateja zinahifadhiwa tofauti na pesa za kampuni.
Ulinzi dhidi ya salio hasi
Huwezi kupoteza zaidi ya salio lililo kwenye akaunti yako.
MetaTrader 5
Trade kwa simu, kompyuta au kivinjari, pamoja na one-click trading na expert advisors.
Masoko 1,300+
Forex, dhahabu na metali nyingine, commodities, indices, hisa na ETF kwenye akaunti moja.
Copy trading
Fuata traders wengine kwenye MT5 huku ukijenga ujuzi wako mwenyewe.
Anza kwa hatua tatu
- 1
Jizoeze kwenye demo ya bure
Pata USD 10,000 za mazoezi. Jifunze kutumia platform bila hatari yoyote.
- 2
Fungua akaunti ya Cents
Anza trading halisi kuanzia USD 50 kwa positions ndogo zaidi huku ukijenga kujiamini.
- 3
Weka pesa kwenye akaunti
Weka pesa kwa kadi au uhamisho wa benki. M-Pesa inakuja hivi karibuni kwa wateja wa Kenya.
Weka pesa kwa M-Pesa
Inakuja hivi karibuniHuduma ya kuweka pesa kwa M-Pesa kwa wateja wa Kenya inaanzishwa. Kwa sasa unaweza kuweka pesa kwa kadi au uhamisho wa benki. Tufuate kwenye Instagram ili ujue mara tu itakapoanza.
Soma mwongozo wa kuweka pesa kwa M-PesaTrade kwa USD 5,000 zetu
Akaunti yetu ya funded inakupa USD 5,000 kwenye MT5 kwa siku 30. Jifunze katika hali halisi ya soko kabla ya kuhatarisha kiasi kikubwa zaidi cha pesa zako mwenyewe. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Angalia masharti ya akaunti ya fundedDarasa la bure kila Alhamisi
Jiunge nasi saa moja usiku (7 PM EAT) kwa somo la dakika 30 kwenye YouTube, pamoja na muhtasari kwa Kiswahili na majibu ya maswali yenu: kusanidi platform, kusoma chati, kudhibiti hatari na habari kubwa za soko za wiki.
Dalili 5 za broker bandia
Kagua haya kabla ya kumtumia mtu yeyote pesa, popote alipo.
- 1Anakuahidi faida ya uhakika au faida ya kiasi maalum kila mwezi.
- 2Anakuomba utume pesa kwa namba ya M-Pesa ya mtu binafsi badala ya kwa broker.
- 3Hawezi kukuonyesha namba ya leseni unayoweza kuthibitisha kwa mdhibiti.
- 4Anakushinikiza ulipe leo, kabla hujapata muda wa kufikiria.
- 5Anaonyesha screenshots za faida, lakini kamwe haonyeshi withdrawal halisi.
Centrino Capital ina leseni ya FSC Mauritius, leseni namba GB24203407. Pesa unazoweka hutumwa kwa Centrino Capital pekee, kamwe si kwa mtu binafsi.
Maswali ambayo Wakenya hutuuliza
Naweza kufungua akaunti nikiwa Kenya?
Ndiyo. Centrino Capital Ltd ina leseni ya Financial Services Commission ya Mauritius (leseni GB24203407) na inakubali wateja kutoka Kenya. Unathibitisha akaunti yako kwa kitambulisho cha kitaifa au pasipoti pamoja na uthibitisho wa anwani.
Kiwango cha chini cha kuweka pesa ni kiasi gani?
Akaunti ya Cents inaanzia USD 50. Akaunti ya demo ni ya bure na haihitaji kuweka pesa yoyote.
Naweza kuweka pesa kwa M-Pesa?
Huduma ya M-Pesa kwa wateja wa Kenya inaanzishwa. Kwa sasa unaweza kuweka pesa kwa kadi au uhamisho wa benki. Mwongozo wetu wa M-Pesa unaonyesha hatua.
Kutoa pesa kunafanyikaje?
Unaomba withdrawal kupitia client portal. Pesa hurudishwa kwa njia ya malipo iliyosajiliwa kwa jina lako mwenyewe baada ya ombi lako kukaguliwa.
Je, trading ina hatari?
Ndiyo. CFDs ni bidhaa zenye leverage na unaweza kupoteza pesa zote unazoweka. Anza na demo, tumia stop-loss kwenye kila trade na kamwe usitrade kwa pesa ambazo huwezi kumudu kuzipoteza.
Fuata Centrino Capital Kenya
Taarifa za soko kila siku, masomo na vikumbusho vya webinar kwenye Instagram.
CFDs zina hatari kubwa; unaweza kupoteza mtaji wako wote. Trade tu kwa pesa ambazo unaweza kumudu kuzipoteza.
